Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Basi vizuri, ulale mapema uamke mapema kesho mwaka mpya.. Usisahau kuomba🤣🤣🤣 najiandaa kuoga nilale zangu maana hapa simu imeshapata moto aisee isije ikanilipukia kisa mambo ya Jf jamani😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi vizuri, ulale mapema uamke mapema kesho mwaka mpya.. Usisahau kuomba🤣🤣🤣 najiandaa kuoga nilale zangu maana hapa simu imeshapata moto aisee isije ikanilipukia kisa mambo ya Jf jamani😂😂😂😂
Ni wanafiki wakubwa sijui wanamnafikia nani. As if kuna mtu yupo interested na maisha yao ya minjunjanoNyie watu wenye misemo ya namna hii ndio hatari zaidi, huwa mnajificha kwenye msemo huu..."ina maana humu watu wanakulana.."
Yeye ayaweke wazi aone kama end of 2024 hajaja na thread ya majonzi😀😀Haha hapana huyu wa sasa alisema mwenyewe kwamba kuna siku atamuweka wazi, sasa naona leo anakuja na habari za sitaweka tena wazi mahusiano yangu, ndio nataka nijue hilo tamko linajumuisha na huyu sasa ama watakaofuata
Kuna kitu sio bure. Hii taarifa ya Nifah imekua ghafla sana anyways!Haha hapana huyu wa sasa alisema mwenyewe kwamba kuna siku atamuweka wazi, sasa naona leo anakuja na habari za sitaweka tena wazi mahusiano yangu, ndio nataka nijue hilo tamko linajumuisha na huyu sasa ama watakaofuata
Eehhh hizi ni zaman za kuambiana ukweli.Umeua sana
Heri ya Mwaka mpyaaKhee 😂😂
HahahaaaNi wanafiki wakubwa sijui wanamnafikia nani. As if kuna mtu yupo interested na maisha yao ya minjunjano
Haha na mimi naomba nitumie kalumbu, halafu mbona umepotea hivyo, habari za masikuKale kafirst born kako ni kacheshi sana mkuu
.......nimedownload ile video ya idont care unavibe nae[emoji7][emoji7]
🤣🤣🤣🤣U miss one flight you catch another ...Sina sababu ya kutoa Tangazo pale terminalNa wewe tupia tujue nani mmepigana chini ili wadandiaji wajiandae..
Amen.Basi vizuri, ulale mapema uamke mapema kesho mwaka mpya.. Usisahau kuomba
That's nice babe😍Amen.
Kwa kweli lazima nimshukuru Mungu kwa kunipa afya njema na kunilinda kwa mwaka huu wote aisee maana sijaingia hospital kabisa kucheck hata Malaria😌
Mungu ni mwema, tuko karibu kuupokea tukiwa na afya tele.Heri ya Mwaka mpyaa
Umeanza [emoji851] ila Swahiba wako Rebecca hayupo siku hizi kupiga debe la "Haki Sawa" [emoji1]Ila watu bhana...
Nifah ameamua kuandika sababu yeye ndiyo yupo active JF kwa sasa kuliko jamaa...na amekuwa akiulizwa maswali mengi kuhusiana na mahusiano yake na The Bold.. Na aliahidi ataleta uzi kabla ya mwaka kuisha au mwanzo wa mwaka( 2024) ataeleza kila kitu....
Sasa kosa lake hapo ni nini?
Wanaume acheni kujihesabia haki kwenye Mahusiano....
We unapenda vya chinichini weka wazi watu tujue,,,,sio na kale ka girl Kako ka Missy Gf mnatuchanganyia habari ,mara mnajikausha,mara mnajiweka wazi mnatuchanganya wambea!Hebu semeni kweli tujue😜😜Ila li The bold lilienjoy sana, hakuna raha kama kuwekana na lidada linalojitambua, hata likikupiga chini lazima ujipige kifua kwa ushindi...wanasema no regrets!
Dah kichafueni tu😀😂Azingatiwe 🤣