Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah😃🤣😂😂, una majibu weye🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo we ndio mziba mapengo au sio?
Bwana eeeh? 🤣🤣🤣Nimeenda kufungua banda la kuku nmerudi uzi unatembea hivi....duuuuh Nifah kweli kiboko
Yani vile ulikuwa unaleta habari za ma celeb na ubuyu pambeee bs huu uzi lazma wajuba wafunguke sana ya mioyoni mwao...!!
Leo utakula sana vichambo kutoka kwa vibungo na feminist yani wewe na dada ASHA_DII wa jamii ya twitter mnamaliza mwka mkiwa
Kwenye flow inayofanana
Sent from Hisense Smart Tv
Nice...ukumbusho mzuriBasi vizuri, ulale mapema uamke mapema kesho mwaka mpya.. Usisahau kuomba
Tumuulize huyu baba atujibu🤣Dah😃🤣😂😂, una majibu weye🤣
I’m a very fair person na muwazi, Asante.Ahahahaha....wote wanakikuta majasusi!? 😂😂😂.
Ila she is strong kwakwel. Kwakwel na declare interest leo kwamba Nifah Ume qualify kuwa mleta ubuyu mwenye quality unbiased standard..unoko wa watu unatuletea na wakwako umetuwekea, tuseme nini tena?
Oya adriz ile joseon gun man ni 🔥🔥, eti ana piga chuma kwa hasira😂🤣Mimi kama Muhuyul wa Six flying dragon jamaa hajawahi kufocous na mademu zaidi ya kazi yake ya Ugeneral na akafanikiwa haswa , mwengine ni General Ohyi(Oi) wa kwenye Jumong tokea ateswe na mapenzi kizembe jamaa hakutamani kupenda tena zaidi ya kufocous na goals zake na akawa mtu mbadi sana na hawakula nyetoh kama dronedrake ..
Lee Min ho shombe shombe analeta sana mapenzi kwenye kazi , hayo mambo nimepiga chuma tatu Kali kama miongoni mwa adui wangu mkuu ,ukitaka uone nimepigaje rejea katika Uzi wetu wa Wakorea Ile video ya jamaa wa Joseon Gunman anavyopiga chuma kwa hasira utapata picha halisi..
We mrusi wa mchongo Ivan Stepanov , tulia 😆🤣.Ahahahaha....wote wanakikuta majasusi!? 😂😂😂.
Ila she is strong kwakwel. Kwakwel na declare interest leo kwamba Nifah Ume qualify kuwa mleta ubuyu mwenye quality unbiased standard..unoko wa watu unatuletea na wakwako umetuwekea, tuseme nini tena?
Mr deli hapa 😂😃🤒Tumuulize huyu baba atujibu🤣
. Naaam, ndo maana nipo hapa nafukuzia Nifah , huwezi jua utashangaa karata imedondokea kwangu. 😋😋.🤣🤣🤣Kwa hiyo we ndio mziba mapengo au sio?
Kwamba "Yowe halichagui umri" [emoji2][emoji2][emoji2]Nimeenda kufungua banda la kuku nmerudi uzi unatembea hivi....duuuuh Nifah kweli kiboko
Yani vile ulikuwa unaleta habari za ma celeb na ubuyu pambeee bs huu uzi lazma wajuba wafunguke sana ya mioyoni mwao...!!
Leo utakula sana vichambo kutoka kwa vibungo na feminist yani wewe na dada ASHA_DII wa jamii ya twitter mnamaliza mwka mkiwa
Kwenye flow inayofanana
Sent from Hisense Smart Tv
Ungeipuuza usingechangia 🤣🤣🤣Break up: mwezi August.
Press release: kuelekea sikukuu ya mwaka mpya (January) 😄
Mleta mada hebu subiri kwanza January iishe afu ndipo utukumbushe hii 'public notice' yako. Kwasasa tunaipuuza kwanza. 😎
-Kaveli-
Aisee, anyways I wish you two peace......Nimesema mwenyewe dear, amini.
Mwaka ujao uji upgrade,ununue hata boda y kubebea Hilo deli lako😇Mr deli hapa 😂😃🤒
Sasa nafasi ipo wazi, ngoja tuanze kutuma application mapema 2024 ni mwaka wa kuoaView attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
tulia kuwa mpenzi msomajiHuyo kid ni wa Ze Boldi?