Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mbona kama unataka kuniingiza mkenge hivi🤣🤣🤣🤣Mbona sikuelewi we mzee?mi mwenyewe sungura ujueHongereni, love is a beautiful thing. Anzeni 2024 na vibe la mapenzi kama yote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama unataka kuniingiza mkenge hivi🤣🤣🤣🤣Mbona sikuelewi we mzee?mi mwenyewe sungura ujueHongereni, love is a beautiful thing. Anzeni 2024 na vibe la mapenzi kama yote.
Ninao basi...nimeshangaa tu kukuona hapaKuna umbea unataka kunipa? Hebu nipe ili nione kama nitapenda, sina uzoefu kwenye hiyo sekta.
Kesho nta kununulia ice cream 😂, NuzulatiWe dada usihalibu uzi ukafutwa mbona unajistukia kila uzi🐒
Huu uzi ni wa Nifar
Kwamba wewe hujawahi kupata bebe humu, watu mpo vizuri underground 😀😀😀Eeeh shoga humu jf mna mambo,🙌🤔🙄🤭
Tuendelee kuomba 🤣
Na kwako pia bebiBaby Heri ya Mwaka Mpyaa
Yes, you have to respect ma vitumbua 😂😀Respect
Andika vizuri basi maua au una vitu kichwani?Jumie furamu mapenzi hayapo serious hata ujitahidije
Mr.Devil at work
Nahubiri amani😂😀😀Eeeh shoga humu jf mna mambo,🙌🤔🙄🤭
Tuendelee kuomba 🤣
Kuwapenda ? Mimi navyojua tumeambiwa kuishi Kwa Upendo.Kwani wewe uliwahi kutupenda Mkuu? Wala sishangai wewe kusema haya.
Heri ya mwaka mpya, nakutakia amani.
Aah, kama hakuna bebe hakikisha 2024 anakuwepo, yaani awepo tu ili mambo ya mahaba yakae sawa🤣Mbona kama unataka kuniingiza mkenge hivi🤣🤣🤣🤣Mbona sikuelewi we mzee?mi mwenyewe sungura ujue
Wanafanya tunapita na ku-like kimya kimya ili wasituibie 😜🙌🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣Dah na uzee huu unataka nipate kisukari nikiachwa ?si eti eeeh ndio mpango wako?Aah, kama hakuna bebe hakikisha 2024 anakuwepo, yaani awepo tu ili mambo ya mahaba yakae sawa🤣
Mamboo kipenzi nipo napepewa nikaona bora nisome uzi huu napepewa na feni🤣🤣🤣 sio babyAndika vizuri basi maua au una vitu kichwani?
🤣🤣🤣🤣 Ulikuwa kwenye maombi Nini mama mtumishi?watu humu nusu wararuane nguo nikakaza kunena sasa wamepoa amani imetawala
Sawa Mjukuu, kuwa makini na wale watakaotaka wakupe a shoulder to cry on.Hii ni kawaida katika jamii yoyote Babu, usiogope.
Humu niliemuelewa kaka mmoja tu,na nilionana nae kabisa,na anajua km niliemuelewa!Kwamba wewe hujawahi kupata bebe humu, watu mpo vizuri underground 😀😀😀
Wewe huyo🤣🤣🤣Nahubiri amani😂😀😀
Umesema sahihi MkuuKiukweli kabisa...jf sio sehemu ya kuweka mambo yako sio ya mahusiano tu hata mengine yahusuyo maisha binafsi