Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Kwani wewe uliwahi kutupenda Mkuu? Wala sishangai wewe kusema haya.

Heri ya mwaka mpya, nakutakia amani.
Kuwapenda ? Mimi navyojua tumeambiwa kuishi Kwa Upendo.

Nilichokiandika hapo , kinajieleza waziwazi kua ni ujumbe tu wa Upendo Wala Hauna Hila Wala wivu Wala nn.

Nimeoa Mwanamke mzuri, kanizalia watoto wazuriii, Sasa kwann nisiwapende ?.

Mimi nawapenda wote.
 
Kwamba wewe hujawahi kupata bebe humu, watu mpo vizuri underground 😀😀😀
Humu niliemuelewa kaka mmoja tu,na nilionana nae kabisa,na anajua km niliemuelewa!

Kitambo kidogo hapo!
Unfortunately ht sikumfaidi those days, nilikuwa muoga muoga najutaaa🤣

Ndo maana nawashangaaga wanao fikiria sijui kaliwa na fulani sijui nn,nachekaaa,hawajui!
Joannah
 
Back
Top Bottom