Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usinikatishe tamaa mimi nilishaanza kuweka oda eda ikiisha nivuteMbona wengine tulistuka zamani ni ID mbili klakini mtu mmoja tu.
Ni vyema mapenzi feki umeuwa ki feki feki.
File lilishawekwa kabatini hadi lina vumbi tayari 🤣ouky funga vizuri hilo file, Mungu awaongeze huku kwa kina b.. Mfike mbali
BTW sioni haja ya ww kujibu kila kitu hapa
Dah mi siwezagi kuzuia yaani nikipenda nachizika kabisaTwende mdogo mdogo tusikolezane🥰
Mwisho kiliwe na nyenyereDah mi siwezagi kuzuia yaani nikipenda nachizika kabisa
Hallelujah!
Nikitokea Sinoni Daraja Mbili 😊
Kuliwa kitaliwa, Ila kupenda kama Chizi hapanaMwisho kiliwe na nyenyere
Unachizika hasa halafu mambo yanakuja kuharibika huaminiYani wewe ni kama mimi, sikuwahi kuamini mapenzi yanatia uchizi hadi nilipokuwa na kaka mzuri, acheni!
Mtumishi, walisema eti bila kumumunya pipi kazi haiwezi endelea🤣🤣Nini tena mtumishi 😅
Hapa tunataniana tu missy, binafsi ni mpenzi wa utani sana na mara nyingi mtu anaweza kuwaza mambo kwa ground ni serious. Let's live and enjoy. Joannah ✌🏻Sijakasirika ila some people will take this issue serious
Tusije kumuharibia babu kwa koloni lake
I'm happy for you NifahMimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!
Nyie mpaka napagawa nilichelewa wapi? 🤣
Happy new year mpendwaHappy new year
What's your point?Mmeachana Kitambo tu Miss Nifah, Nilijua baada ya jamaa yangu mmoja kuwa anampost mtoto wako status nikamuuliza unamjua baba wa huyo mtoto akajibu hapaana anamjua mama yake (wewe) ambaye ni marafiki, Nikamuuliza unamjua bwana wake akasema Hapana, Anajua upo single