Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

ouky funga vizuri hilo file, Mungu awaongeze huku kwa kina b.. Mfike mbali
BTW sioni haja ya ww kujibu kila kitu hapa
File lilishawekwa kabatini hadi lina vumbi tayari 🤣
Amen b… wangu ni mmoja tu 😜

Sijibu kila kitu, chunguza nimeacha vingi mno kuliko ninavyojibu.
Na siwezi kuacha kujibu, sababu nimesema mwenyewe lazima kuna maswali ya msingi na upotoshaji.
 
Nilivyokuwa nampenda The Bold aisee, na hata yeye anajua. Sema sa hivi kesha zeeka!

Sifa ya mwanamke ni Moja tu mtii na kumuheshimu mwanaume! Niffer ukajikuta unampenda, pole sana kwa kuumizwa shwaaaah
 
Mimi ndio nimetoka huko sasa, nimempata wa kufanana nae na ananiongoza vyema mnooo!
Nyie mpaka napagawa nilichelewa wapi? 🤣
I'm happy for you Nifah

Ulichelewa kwenye harakati za kupishana na vyura ili ukikutana na Prince Charming wako um-appreciate haswa!!!😁

Linapokuja swala la kufanana na kutofautiana ofcourse lazima kuwe na balance. Mnaweza mkafanana sana ikawa tabu maana hamna wakumwambia mwenze "Hey...hapo sio!"
Obviously kuna vitu ambavyo ni fundamental kwa kila mmoja wetu as individuals, na mkitofautiana kunakua na mvutano mkubwa sana. Hivi hapana, maana ndio chanzo cha mafarakano kwenye mahusiano mengi.

Hampaswi kuwa polar opposite of eachother, ila kuna namna mnaweza kutofautiana kwenye baadhi ya mambo kila mmoja akam-compliment wenzie like perfect pieces of a puzzle. So, mi nasemaga, the most important thing is to find your match. Iwe mtatokea kufanana au kutofautiana, it won't matter, as long as she/he is the right person for you.
 
Back
Top Bottom