Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nitazingatia Babu 😊
Hilo muhimu sana Mjukuu

Hata kama tumezeeka mtupe hata dozi ya mwaka mara 2

Tena unavizia ikisimama tu unarukia juu maana ukichelewa hiyo ni hadi miezi 6 ipite πŸ™ˆπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Sitakuangusha babu, na hivi nampenda? Burudani mwanzo hadi uzeeni πŸ˜‚
 
Sitakuangusha babu, na hivi nampenda? Burudani mwanzo hadi uzeeni πŸ˜‚
Na iwe hivyo Mjukuu...

Kusuluhisha ugomvi wa kukosekana kwa huduma inakuwaga ngumu, manake badala ya kusolve tatizo lenu na Mimi Babu yenu najikuta nalia as unakuta hilo tatizo nili-experience mwaka 47 😜
 
Babu si tutamkimbiza? 😩
Kweli nimeamini Mkwe wangu umempenda kikweli kweli

Nakumbuka wakati namwoa Bibi yenu mwaka 1976 nilimwambia sina hela ya kulipia mahari babe wako japo nakupenda

Akaniuliza kwani una shilingi ngapi...nikamwambia nina shilingi 50 tu

Basi akaenda kwao akawaambia Wazee wake wanitajie mahari ya shilingi 65

Hizo shilingi 15 za ziada nimekuja kuzilipa mwaka 1982 πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…