Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nilivyokuwa nampenda The Bold aisee, na hata yeye anajua. Sema sa hivi kesha zeeka!

Sifa ya mwanamke ni Moja tu mtii na kumuheshimu mwanaume! Niffer ukajikuta unampenda, pole sana kwa kuumizwa shwaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23]

Mbwa hazeeki maini mkuu
 
Mleta masa ni single mama? Kama ndivyo basi jasusi baada ya kusoma kwa muda mrefu amefikia maamuzi makini. Alichofanya aliamua kukaa kimya ndo uanaume ili mleta mada (ke) ajiongeze na amejiongeza kweli.

Naamini mzigo alishakula hivyo hana cha mno alichopoteza
 
Amini Babu, nampenda kiukweli kabisa.

Kweli wewe Babu yangu, mama yangu alizaliwa around hiyo miaka wakati wewe unaoa.

Ndio mimi na mkweo husema, vigezo pekee vya kupelekea kuoana ni kupendana kwa dhati nyote wawili, basi.
Si unaona nyie mmedumu? Nasi tutafuata nyayo zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…