Kweli kabisa. Kikubwa ni uaminifu na mawasiliano baina yenu na heshima.Nishapita hii situation sio sahihi Yani mkiachana maswali ni mengi maneno pia mengi kiasi hata mkisalimiana watu lazima watengeneze story Haina afya ukiwa na mahusiano mengine pia
Bora kuficha had mfikie uchumba au ndoa
Kwakweli walitazame na hiliHilo huwa ni tatizo la akili na mara nyingi kwenye mahusiano ya namna hiyo kuna mmoja huwa hafurahishwi na hayo mahusiano
Auntie 😂😂😂Auntie tulia 🤣🤣🤣
Kusanya mamba wenzentu twende mtoni
kumbe mahusiano,uchumba na ndoa havichangamaniNishapita hii situation sio sahihi Yani mkiachana maswali ni mengi maneno pia mengi kiasi hata mkisalimiana watu lazima watengeneze story Haina afya ukiwa na mahusiano mengine pia
Bora kuficha had mfikie uchumba au ndoa
Hee😃😃😃Kumbe ndio maana unapost sana jukwaani. Nimefahamu ni stress za kuachwa. Pole sana.
Kama kawaida shooAhahhaha nimetania bana mwaka unaenda kuisha tuwe na furahaaaa
😃😃😂Kiko wapi sasa
Ni kweli kwanza mnaishi Kwa amani Sana hata ugomvi sio rahis maana kilamtu Yuko busy na mambo yake hata umbea haupewi ila watu wakijua bas ni shidaaKweli kabisa. Kikubwa ni uaminifu na mawasiliano baina yenu na heshima.
Nilimaanisha kuwa wapenz Kuna uchumba Yani mshatoleana mahari pia Kuna ndoakumbe mahusiano,uchumba na ndoa havichangamani
Special fie for eatView attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
binti akiachwa anaumia sana sijui kwa niniKumbe ndio maana unapost sana jukwaani. Nimefahamu ni stress za kuachwa. Pole sana.
Ha ha ha ha mkuu shetani unazingua au wewe ndiyo umesababisha?Kiko wapi sasa
ah qmmmmq hahahahaKiko wapi sasa