Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Enzi zile za forex mwamba Ze Bolidi niliwahi kumsoma alifikia hatua ya kumzawadia kakipando baada ya kujidunduliza kwenye hustle, nina imani, hiyo zawadi huenda aliipata, hata kama lenye mwanzo lina mwisho
 
Mbona yupo sana tu....Ana ID yake nyingine sitaweza kukutajia

Na mwendo ni ule ule[emoji2]
Umenipatia kweli kweli, sema tu..................[emoji2960]
JamiiForums2142472440.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Maghayo akiendelea na pigo zake za kibarbarian ataishia kujiunga Chama la dronedrake kunyetuka daily maana anategemea anavyorudi bongo aingie chimbo akadake Wahadzabe vijijini maana kule wengi washamba sasa bahati mbaya Serikali ya awamu ya 5 imeboresha miundombinunkule wanapata kujanjaruka ,sasa miaka ijayo Mr Maghayo asipoacha pigo zake atakuwa hna njia isipokuwa kumuone dronedrake ampe mbinu za kujipoza.
Bro mbavu Sina 😂😃😀🤣🤣, etu wahadzabe😀😀
 
Maghayo akiendelea na pigo zake za kibarbarian ataishia kujiunga Chama la dronedrake kunyetuka daily maana anategemea anavyorudi bongo aingie chimbo akadake Wahadzabe vijijini maana kule wengi washamba sasa bahati mbaya Serikali ya awamu ya 5 imeboresha miundo mbinu kule wanapata kujanjaruka ,sasa miaka ijayo Mr Maghayo asipoacha pigo zake atakuwa hna njia isipokuwa kumuone dronedrake ampe mbinu za kujipoza.
nyeto inaingiaje hapa tena
 
Back
Top Bottom