MAranatha7
JF-Expert Member
- Sep 29, 2023
- 267
- 536
Asante kwa kujibu.Sasa reli gani niliyotolewa jamani? Hakuna taarifa yoyote personal niliyoiweka hadi sasa.
Hakuna cha kumsumbua kaka mzuri, ananijua kuliko yeyote.
Asante.
Kila kaka ni mzuri kabla hajakukosea.
Hata Habibu alikuwa mtamu enzi hizo kuliko hata asali ya nyuki.
Kila la kheri katika safari mpya