Nifahamishe kuhusu denda, kunyonyana ndimi


Mliambiwa tu, lakini je na nyie mlifanya lolote kuhakikisha hivyo? au mlivyoambiwa tu basi nyie mkaiwekea tiki.
 
lakini wakati huo huo ukijitahidi kuitetea hii mada kumbuka pia usipige mswaki kama unampango wa kula denda wakati huo huo na wala usile miwa au dagaa am chochote kifananacho ambacho lazima kikuache na majeraha kinywani halafu theory ya mimba ni tofauti kidogo na hii ya HIV mkuu mkojo kupima mimba haiwezi kufanana na upimaji wa HIV kwa njia kinywa kumbuka wale ni VIRUS mkuu wangu, lakini hata hayo majibu mnayo toa madokta wetu kuhusu HIV still ni ya ku copy and paste from wadhungu and note lengo la huu ugonjwa kutengenezwa halafu REF:kwenye maelezo yangu ya awali ,but all in all CHANGANYA NA ZAKWAKO so mtu akikwambia kitu hata kama atakuhakikishia vipi embu jaribu kuisumbua akili yako kwa hilo

 

Nahisi upo sawa kwa asilimia kubwa, nimesoma jinsi ya kujipima kwa kutumia kipimo cha mate nahisi upo sahihi. Thanks
 
LOOK

j
a
m
b
o

l
a
m
s
i
n
gi
n
I

k
u
a
k
i
k
i
s
h
a

e
l
i
m
u

k
u
u
s
u

U
k
i
m
wi

h
a
i
t
o
k
a
n
I

n
a

t
or
y

z
a

m
ta
a
n
I

z
a
id
I

n
I

k
u
w
a
o
n
a

w
a
ta
a
l
a
m
u

w
a

A
y
a

k
w
a
n
I

m
t
a
a
n
I

k
u
n
a

me
g
I

y
a
k
i
e
m
o

udangayifu
 
We dendalise tu mwanawani, kama walivyoshauri wakuu hapo juu, denda ni salama zaidi kama wote mtakuwa michubuko ya midomo free.
 

Denda la Lita 5. Hii Kali. Mpaka ufikishe Lita hizo. Inabidi uwe mdendaji sugu.
 
well jukumu ni lako kujilipua, lakini siku hizi kuna ugonjwa unaitwa herpes unaweza kuupata kwa kudendeka na ni virus kuwa makini chukua hatua
 
Naomba kuuliza endapo mtu atalamba damu ya mwathirika wa ukimwi, je na yeye atapata ukimwi?
 
Denda lita 5????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…