Nifahamisheni kuhusu Msanii Malaika (Diana Malaika Exavery)

Nilimpenda kwenye video ya Rich Mavoko Marry me baada ya hapo naona kanenepa nenepa na kawa mbaya.
 
Kawaulize Erolink, wanamjua vizuri sababu kafanya kazi pale!
 
Nampenda huyu mdada sijui anaweza Kunitunuku
 
Mkuu nimekupm kwaajili ya no.zake
 
Mimi saut yakee nimeipenda zaidi kwenye ngoma yakee inaitwa zogo
 
Huko insta katupia video matata anakata uno balaa mfereji wa ikweta nje kabisa....ana show Uingereza
 
Ila ni mfupi huwezi amini ukimuona....lakini yuko peace sana ana interact na watu fresh hata kama hakujui...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…