Nifahamisheni kuhusu Msanii Malaika (Diana Malaika Exavery)

Nifahamisheni kuhusu Msanii Malaika (Diana Malaika Exavery)

Nilimpenda kwenye video ya Rich Mavoko Marry me baada ya hapo naona kanenepa nenepa na kawa mbaya.
 
Kawaulize Erolink, wanamjua vizuri sababu kafanya kazi pale!
 
Nampenda huyu mdada sijui anaweza Kunitunuku
 
Anaitwa Diana Malaika Exavery Clavery.
Alikuwa anafanya visual lab kw adam kama artist make up kwa wasanii na ma model kwenye video jambo lililomfanya akutane na wasanii wengi.
Mwaka 2013 ndipo chegge alisikia sauti yake akaamua mshirikisha kwenye ngoma ya uswaz take away.
From there akapata confidence ya kuendelea n mziki.
Hajaolewa na hana mtoto...
Mkuu nimekupm kwaajili ya no.zake
 
Mimi saut yakee nimeipenda zaidi kwenye ngoma yakee inaitwa zogo
 
Huko insta katupia video matata anakata uno balaa mfereji wa ikweta nje kabisa....ana show Uingereza
 
Ila ni mfupi huwezi amini ukimuona....lakini yuko peace sana ana interact na watu fresh hata kama hakujui...
 
Back
Top Bottom