Nifahamisheni kuhusu Msanii Malaika (Diana Malaika Exavery)

Huko insta katupia video matata anakata uno balaa mfereji wa ikweta nje kabisa....ana show Uingereza
Likiuno lenyewe gumu mno, halafu bado mshamba , hajapata exposure , nimejaribu kuangalia picha zake huko U. S. A, Body language inasomeka kama hajiamini anashangaa na anaogopa asije jaribu , au kuonekana mshamba, anyway nampenda pia.
 
huyo hapo huyo Malaika. Mi tayari nishagongea nyeto hiyo video wale wanachama wenzangu wa Chaputa Starter hii hapa

Unasahau kuwa anafuata nyayo za wasanii wenzake.
Wasanii wa bongo karibia wote ndivyo walivyo wanapenda sana show off za kijinga.
Respect kwa AY
Mmeisha ambiwa ni wasanii, ina maana sanaa kwenda mbele, maisha yaliyojaa ukaole
 
Ukisikia kiitikio cha Wimbo wa Uswazi Take Away wa Said Nassor ‘Chegge’ lazima utajiuliza mara mbilimbili sauti ya kike inayosikika ni ya nani.
Jibu ni rahisi! Ni mmoja kati ya wasanii wa kike wasioshikika katika Bongo Fleva. Anaitwa Diana Malaika Exavery Clavery ama wengi tumezoea kumuita Malaika.

Ukiachana na Uswazi Take Away, Malaika anatambulika na ngoma kama Mwantumu, Nenda pamoja na Saresare aliyomshirikisha producer, Mesen Selekta wa De Fatality Music.

Pia katika utoaji tuzo za Kili Music mwaka 2015, Malaika alikuwa mmojawapo katika vipengele vya tuzo hizo akichuana na Lady Jay Dee, Linah, Grace Matata pamoja na Vannesa Mdee akiwania kipengele cha Mwimbaji Bora wa Kike Bongo Fleva ambapo tuzo ilikwenda kwa mwanadada, Vannesa Mdee.

Anasoma shule ya wasichana ya Kibosho huko Moshi. Na alipomaliza kidato cha nne akaingia jijini Dar na kufanya ‘field’ kwenye Ofisi za Uzazi na Vifo (RITA) na wakati mwingine alikuwa akifanya kazi kwa mtayarishaji wa video, Adam Juma wa Visual Lab kama ‘make up artist.’

Kitendo cha kuwa na Adam kwa muda mrefu na wasanii wengi wanakuja mahali pale, basi ikawa rahisi kwa Adam kumuunganisha na Chegge. Hapo ndipo historia ya muziki wake ilipoanzia rasmi.
 
Hivi kweli chege alimwacha ivi ivi tu kweli
 
dah mkuu sio kila mtu ana hayo mawazo ya kutia tia bunduki kwenye shimo lenye joto tamu... Kuna kipindi Malaika akihojiwa akasema toka atengeneze ile video ya Take away na Chegge, Chegge hakuwahi kumtafuta tena.. kama sijakosea alisema ameshaonana na chegge mara mbili tuu kipindi anarekodi na kipindi ana-shot video ya take away na alidai angependa kuonana na chege tena ikiwezekana atoe nae Wimbo..chegge sio mtu wa kutwanga vinu(sio mtu wa-k) yupo ki-rasta zaidi
 
Naupenda huu wimbo wake wa kuraruana, halafu alitolewaga na Chege hivi mtoto wa Mama Said alimuacha kweli huyu? Maana si haba
Kweli mkuu mvunja nazi kwa ugoko alimtizama tu
 
dah mkuu sio kila mtu ana hayo mawazo ya kutia tia bunduki kwenye shimo lenye joto tamu... Kuna kipindi Malaika akihojiwa akasema toka atengeneze ile video ya Take away na Chegge, Chegge hakuwahi kumtafuta tena.. kama sijakosea alisema ameshaonana na chegge mara mbili tuu kipindi anarekodi na kipindi ana-shot video ya take away na alidai angependa kuonana na chege tena ikiwezekana atoe nae Wimbo..chegge sio mtu wa kutwanga vinu(sio mtu wa-k) yupo ki-rasta zaidi
Duh basi wanaume tumetofautiana
 
View attachment 429391
MALAIKA.jpg
Malaika-Msanii.jpg
mwantumu.jpg
MALAIKAA.jpeg
images
usiwe mvivu siku nyingine kagoogle
Asante google wa jf!!!
 
Duu huyu mdada ni kisu balaa natamani arudi tena bongo flevani ili niendelee kumfaidi japo kwa macho tu
 
Back
Top Bottom