Unaruhusiwa kwenda kusoma baada ya miaka mitatu kazini. Huwezi kusoma Masters ya Physics labda kama ulisoma Bsc with educatio. Pia pesa za kusomea huwa wakati mwingine halmashauri wanasomesha waajiriwa wao, japo huwa ni vigumu kupata na inasumbua kuja ukakubaliwa. Ni vyema ukakopa kisha ukalipa mwenyewe kwa level ya masters. Kwa level ya degree ya awali kuna HESLB inakupa mpunga.
Nashukuru kwa maelezo na je mkopo huo hutolewa na taasisi gani na masharti ya urudishaji huwa yakoje(generally)
Nashukuru kwa maelezo na je mkopo huo hutolewa na taasisi gani na masharti ya urudishaji huwa yakoje(generally)
siku hizi mambo kujuana hata mwaka mmoja tu unaenda kusoma, nna uhakika na hili
ha!ha!ha!huyo mbona mlokole aise!!usiseme mambo kujuana,sema mambo kuvua chupi...
mkuu kama una division one ya science kusoma ni bure utapewa ruzuku but kama uko arts kwa sasa serikali haitaajiri tena waalimu wa arts
usiseme mambo kujuana,sema mambo kuvua chupi...
you have lost!! Whera a yuu?
Nipo mpenzi wewe ndo umepotea jamaniii...
Nimekutafuta mpaka kwa torch sijakipata....
Miss you lots
mbona nipo nimejaa tele ati mi mwenye nimekutafuta hadi jalalani sijakupata!
Ni miaka 2 tu mkuu na si mitatu tena kama zamanoWanajf
naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu kozi hii;
1.ukiingia kazini, ni baada ya muda gani unaweza kurudi tena kusoma?
2.ukichukua yenye physics, unaweza soma masters ya physics?
3.ni kwa namna gani unapata fedha ya kurudi tena chuoni?
natanguliza shukurani