Nifahamisheni machache kuhusu fani ya ualimu.

ntita

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
513
Reaction score
285
Wanajf
naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu kozi hii;

1.ukiingia kazini, ni baada ya muda gani unaweza kurudi tena kusoma?

2.ukichukua yenye physics, unaweza soma masters ya physics?

3.ni kwa namna gani unapata fedha ya kurudi tena chuoni?

natanguliza shukurani
 
Unaruhusiwa kwenda kusoma baada ya miaka mitatu kazini. Huwezi kusoma Masters ya Physics labda kama ulisoma Bsc with educatio. Pia pesa za kusomea huwa wakati mwingine halmashauri wanasomesha waajiriwa wao, japo huwa ni vigumu kupata na inasumbua kuja ukakubaliwa. Ni vyema ukakopa kisha ukalipa mwenyewe kwa level ya masters. Kwa level ya degree ya awali kuna HESLB inakupa mpunga.
 
Nashukuru kwa maelezo na je mkopo huo hutolewa na taasisi gani na masharti ya urudishaji huwa yakoje(generally)
 
mkuu kama una division one ya science kusoma ni bure utapewa ruzuku but kama uko arts kwa sasa serikali haitaajiri tena waalimu wa arts
 
nauliza mkopo kwa masomo ya masters ndugu.
 
Nashukuru kwa maelezo na je mkopo huo hutolewa na taasisi gani na masharti ya urudishaji huwa yakoje(generally)

Board Ya mikopo ya elimu ya juu ndio hukopesha kwa wanaosoma shahada. Ina milkiwa na sirikali kwa 100% ukiajiriwa wanakuwa wanakata 8% ya mshahara wako kulipa deni walilo kusomeshea.
 
Mkopo kwa Masters ni ngumu kupata hadi kama ungekuwa Tutorial Assistant ingekuwa rahisi kusoma kwa mkopo wa bodi. Labda jaribu kuchonga na Mkurugenzi kama wewe ni mwajiriwa akudhamini usome kwa pesa ya halmashauri.
 
siku hizi mambo kujuana hata mwaka mmoja tu unaenda kusoma, nna uhakika na hili
 
mkuu kama una division one ya science kusoma ni bure utapewa ruzuku but kama uko arts kwa sasa serikali haitaajiri tena waalimu wa arts

you have lost!! Whera a yuu?
 
Nipo mpenzi wewe ndo umepotea jamaniii...

Nimekutafuta mpaka kwa torch sijakipata....

Miss you lots

mbona nipo nimejaa tele ati mi mwenye nimekutafuta hadi jalalani sijakupata!
 
Wanajf
naomba kufahamishwa yafuatayo kuhusu kozi hii;

1.ukiingia kazini, ni baada ya muda gani unaweza kurudi tena kusoma?

2.ukichukua yenye physics, unaweza soma masters ya physics?

3.ni kwa namna gani unapata fedha ya kurudi tena chuoni?

natanguliza shukurani
Ni miaka 2 tu mkuu na si mitatu tena kama zamano
 
Back
Top Bottom