GoLC JF-Expert Member Joined Jul 10, 2025 Posts 268 Reaction score 466 Feb 5, 2026 #1 Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 2,599 Reaction score 4,674 Feb 10, 2026 #2 Masaa 8 kwa siku! Siku 5 kwa wiki
Smith Rowe JF-Expert Member Joined Sep 18, 2018 Posts 4,570 Reaction score 9,778 Feb 11, 2026 #3 gwapole said: Masaa 8 kwa siku! Siku 5 kwa wiki Click to expand... Siku 26 kwa mwezi
G gwapole JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 2,599 Reaction score 4,674 Feb 11, 2026 #4 Smith Rowe said: Siku 26 kwa mwezi Click to expand... Siku 25 kwa mwezi