Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Kadogo umepatikana mdogo wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sasa ndio unachelewesha mambo. Mnategeana wote, sa ngoja upate mshindani msukuma asietegea itakula kwako😂Sema siitaki kufanya mengi mpk niwe sure kama ananihitaji
Nzogo aha ng'wanike nagotole, no nene nale nsuguma, onebhyalele kayanda na ganike..Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…
Mkaka wa kisukuma mimi nishampenda kiasi kwamba siachi kumfikiria najua atakuwa na mtu hilo
Mimi sijali kwanza hakuna wanaume single sasa mimi nitamtoa wapi.
Tunawasiliana na huwa anaonesha interested na mimi, japo muda mwinginee ana ni ignore hapo ndio ananivuruga.. natamani hata atamke kuwa ana nihitaji but hajawai Sema.. maneno yake ni yaleyale kila siku kusema anafurahi kunipata sijui kufahamiana na mimi..
Ukweli nina furahi uwepo wake.. huwa tunapata chance ya kutoka out ni yeye ananitoa story ni nyingi but hiyo nakupendaa hasemi… mimi nishazimika kwake mpk kuna muda huwa nina type sms kumwambia namna ninavyojisikia but naghairi naifuta naona atanichukulia kama muhuni mwanamke kumtongoza mwanaume..
Jamani huyu Kaka ameshajua kuwa nampenda sasa sijui kwanini ananifanyia hivyo
Naombeni ushauri juu ya Hii hali nimpoteze, nimemwambie au nife nalo moyoni… ukweli nimempenda kama ikitokea nikawa nae basi nitazikwa nae Simu A-C Hii[emoji12]🥹
Hebu basi ni siri hapa tuambie, ulipelekwa na nani? Hawez jua
Ila nyie wanawake Mungu anawaona.
Kadogo umepatikana mdogo wangu
Hapo sasa ndio unachelewesha mambo. Mnategeana wote, sa ngoja upate mshindani msukuma asietegea itakula kwako[emoji23]
Eendelelea kunywa pombe atajua tuu. Kama hauna D moja kijua hapo ni shida
Nzogo aha ng'wanike nagotole, no nene nale nsuguma, onebhyalele kayanda na ganike..
Nzogo Pm lolo doyombe chizaa
Kimbia, angekuwa anakupenda asingekuweka ktk nafasi hiyo ya sintofahamu. Usipoteze muda wako. Kama dada yako nakuambia kukuepusha na kilio utakacholia. Tulia upate mwanamme anayekupenda na atakayekuthamini. Huyu msukuma hatakuthamini akijua umedata kwakeMimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…
Mkaka wa kisukuma mimi nishampenda kiasi kwamba siachi kumfikiria najua atakuwa na mtu hilo
Mimi sijali kwanza hakuna wanaume single sasa mimi nitamtoa wapi.
Tunawasiliana na huwa anaonesha interested na mimi, japo muda mwinginee ana ni ignore hapo ndio ananivuruga.. natamani hata atamke kuwa ana nihitaji but hajawai Sema.. maneno yake ni yaleyale kila siku kusema anafurahi kunipata sijui kufahamiana na mimi..
Ukweli nina furahi uwepo wake.. huwa tunapata chance ya kutoka out ni yeye ananitoa story ni nyingi but hiyo nakupendaa hasemi… mimi nishazimika kwake mpk kuna muda huwa nina type sms kumwambia namna ninavyojisikia but naghairi naifuta naona atanichukulia kama muhuni mwanamke kumtongoza mwanaume..
Jamani huyu Kaka ameshajua kuwa nampenda sasa sijui kwanini ananifanyia hivyo
Naombeni ushauri juu ya Hii hali nimpoteze, nimemwambie au nife nalo moyoni… ukweli nimempenda kama ikitokea nikawa nae basi nitazikwa nae Simu A-C Hii[emoji12]🥹
Kigimbi kama Cha Mohamed Husein Zimbwe 😂Kigimbi tani mbili 🤣🤣🤣🤣🙌, Mzee wa migombani unazingua daah 😆😆😆
Vinakata(ga) stimu kinoma🤣🤣🤣 Mpaji Mungu vigimbi vimewakosea nini kwani?
😂😂😂😂Kigimbi kama Cha Mohamed Husein Zimbwe 😂
😀😀😀 aiseeVinakata(ga) stimu kinoma