Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Sema siitaki kufanya mengi mpk niwe sure kama ananihitaji
Hapo sasa ndio unachelewesha mambo. Mnategeana wote, sa ngoja upate mshindani msukuma asietegea itakula kwako😂
 
Eendelelea kunywa pombe atajua tuu. Kama hauna D moja kijua hapo ni shida
 
Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…

Mkaka wa kisukuma mimi nishampenda kiasi kwamba siachi kumfikiria najua atakuwa na mtu hilo
Mimi sijali kwanza hakuna wanaume single sasa mimi nitamtoa wapi.

Tunawasiliana na huwa anaonesha interested na mimi, japo muda mwinginee ana ni ignore hapo ndio ananivuruga.. natamani hata atamke kuwa ana nihitaji but hajawai Sema.. maneno yake ni yaleyale kila siku kusema anafurahi kunipata sijui kufahamiana na mimi..

Ukweli nina furahi uwepo wake.. huwa tunapata chance ya kutoka out ni yeye ananitoa story ni nyingi but hiyo nakupendaa hasemi… mimi nishazimika kwake mpk kuna muda huwa nina type sms kumwambia namna ninavyojisikia but naghairi naifuta naona atanichukulia kama muhuni mwanamke kumtongoza mwanaume..

Jamani huyu Kaka ameshajua kuwa nampenda sasa sijui kwanini ananifanyia hivyo

Naombeni ushauri juu ya Hii hali nimpoteze, nimemwambie au nife nalo moyoni… ukweli nimempenda kama ikitokea nikawa nae basi nitazikwa nae Simu A-C Hii[emoji12]🥹
Nzogo aha ng'wanike nagotole, no nene nale nsuguma, onebhyalele kayanda na ganike..
Nzogo Pm lolo doyombe chizaa
 
Kimbia, angekuwa anakupenda asingekuweka ktk nafasi hiyo ya sintofahamu. Usipoteze muda wako. Kama dada yako nakuambia kukuepusha na kilio utakacholia. Tulia upate mwanamme anayekupenda na atakayekuthamini. Huyu msukuma hatakuthamini akijua umedata kwake
 
chukua oil changanya na maji utapata jibuu
 
Kama sio mweupe imekula kwako, we hujui mwanamke akiwa mweupe msukuma anatoa ng'ombe nyingi zaidi kwenye mahari kuliko ukiwa Black kama ngozi ya pumbu
 
Back
Top Bottom