Nifanyaje ajue nampenda, nimechoka kujizuia

Sema siitaki kufanya mengi mpk niwe sure kama ananihitaji
Hapo sasa ndio unachelewesha mambo. Mnategeana wote, sa ngoja upate mshindani msukuma asietegea itakula kwakoπŸ˜‚
 
Eendelelea kunywa pombe atajua tuu. Kama hauna D moja kijua hapo ni shida
 
Nzogo aha ng'wanike nagotole, no nene nale nsuguma, onebhyalele kayanda na ganike..
Nzogo Pm lolo doyombe chizaa
 
Hapo sasa ndio unachelewesha mambo. Mnategeana wote, sa ngoja upate mshindani msukuma asietegea itakula kwako[emoji23]

Itakuwa sio ridhiki tu ndugu
 
Kimbia, angekuwa anakupenda asingekuweka ktk nafasi hiyo ya sintofahamu. Usipoteze muda wako. Kama dada yako nakuambia kukuepusha na kilio utakacholia. Tulia upate mwanamme anayekupenda na atakayekuthamini. Huyu msukuma hatakuthamini akijua umedata kwake
 
chukua oil changanya na maji utapata jibuu
 
Kama sio mweupe imekula kwako, we hujui mwanamke akiwa mweupe msukuma anatoa ng'ombe nyingi zaidi kwenye mahari kuliko ukiwa Black kama ngozi ya pumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…