Nifanyaje ili niache kupanga? Kipato 400,000 kwa mwezi

mjusilizard

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
1,025
Reaction score
1,888
Habari wakuu?

Kwa kipato cha 400,000 kwa mwezi nibajeti vipi mambo yangu mpaka nifanikiwe kujenga? Sina wategemezi wengi, hawafiki watano kwa jumla yao. Kipato hicho hakibadiliki sana kwa kila mwezi, niambie ni mbinu gani ulitumia kufanikiwa kujenga kwa kipato kama hicho au unaweza kufanyaje kwa kipato hicho ukajenga?

Maoni yako yanaweza kumsaidia na mwingine mwenye shida kama yangu.
 
"..Sina wategemezi wengi, hawafiki watano kwa jumla yao."

Ina maana unawategemezi 3 wewe ni wa nne! Wategemezi 3 kwa kipato cha laki nne kwa mwezi sijui unaibajeti kivipi hiyo hela na kodi ya pango?

Mimi niliwahi kuwa katika hali kama ya kwako nikajikusanya mwaka mmoja nikawa na akiba niliyojiwekea malengo nikaacha kazi nikajiajili na hapa nilipo namshukuru Mungu.

Japo ujatuambia hao wategemezi ni akina nani na wana umri gani kwasababu unaweza kuwa unafuga wazembe wenye uwezo wa ama kujitegeme, au kufanyabiashara kuchangia kipato cha hapo masikani!

Sikushauri uache kazi ila hiyo kazi ni fursa ya kupata mtaji wa biashara kama utapambana!
 
amshapopo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…