DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 24,021
- 30,904
I fell in love with your budgetKama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.
Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.
Jumla 200k. Baki 200k.
Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.
Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.
Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.