Nifanyaje ili niache kupanga? Kipato 400,000 kwa mwezi

Nifanyaje ili niache kupanga? Kipato 400,000 kwa mwezi

Kama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.

Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.

Jumla 200k. Baki 200k.

Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.

Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.

Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
Hesabu ya hovyo sana hii.
Kwani wategemezi wanahitaji chakula tu?
Nguo na mavazi umesahau, matibabu, daftari n.k
Mimi naishi maisha duni ila 10000 inaisha kwa siku, nina wategemezi 3 tu
 
Kwani Mijusi si huwa inakaa juu ya dari au kwenye maficho! Wewe umewezaje kupanga
 
Kama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.

Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.

Jumla 200k. Baki 200k.

Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.

Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.

Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
Lunch gani na dinner 2000?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hesabu ya hovyo sana hii.
Kwani wategemezi wanahitaji chakula tu?
Nguo na mavazi umesahau, matibabu, daftari n.k
Mimi naishi maisha duni ila 10000 inaisha kwa siku, nina wategemezi 3 tu
Umeona hiyo laki moja niliyoiweka kama ya dharura?. Au dharura wewe unaelewa ni nini?

Wewe unamaliza 10k lakini watu wapo tofauti.
 
Mshahara wako unapitia bank gani ?

Je, Wewe ni mtumishi wa serikali au private ?

Je, Unaweza Kuishi Kwa Ugali Dagaa Miaka 3 ?

Unaweza Kumudu Biashara yoyote ?

Umejiunga Na Kikundi Chochote ( SACCOS au VICOBA ) ?
 
Jitahidi matumizi yako yaishie kwenye hiyo laki mbili. Elfu 50 iwe ya dharula na 150k weka kama akiba, ukipata sehemu ambayo unaweza kuiweka ikaleta na faida baada ya mwaka mmoja itakua vizuri zaidi, baada ya mwaka mmoja utaweza kupata kiwanja. Ukishapata kiwanja sasa utaanzia hapo. Kujenga waswahili walisema ni nia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi jenga hapo,labda ule rushwa ambayo kimsingi hairuhusiwi
 
Weka kila 30% ya mshahara wako kila mwezi. Kwa miezi 10 utakua na 1.2 m ambayo itakuwezesha kununua kiwanja kwa mikoani. Then baada ya hapo wekeza kidogo kidogo kwaajili ya tofali na mengineyo. Taratibu ndo mwendo

Sent using Jamii Forums mobile app
30% ni 1,440,000/= kwa mwaka unaweza kupata kiwanja, endelea kufanya hivyo utajenga na inaweza kumchukua miaka minne kukamilisha nyumba na kuhamia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nina kipato cha 820,000/ kwa mwezi lkn nashindwa kujipangilia cjui nimerogwaaaa!!!!! Yan cjui yan,,,,,wakati kuna jirani mwalimu ana kipato hakizidi 400,000 lakini anajibana na amejenga angalau
Hata ujarogwa, ukiwa na mipango vizuri ya bajeti ktk fedha utafika sehemu

Mfano mimi namjua rafiki yangu anapata laki3 kwa mwezi na siku za usoni anaanza kujenga kwa kudunduliza yeye alikua anasave 150,000 kila mwezi
 
Kama una wategemezi, tufanye unaishi nao nyumbani.
Piga budget ya elfu 5 kwa siku. Wapike chakula nyumbani.
Kwa mwezi ni laki na nusu.

Wewe chai utakunywa nyumbani na dinner, lunch utakula kazini isizidi 2000 kwa siku. Kwa mwezi 50000.

Jumla 200k. Baki 200k.

Sasa hapa inabidi usave 100k kwa ajili ya ujenzi na 100k kwa ajili ya dharura kila mwezi.

Hapa utaweza kujenga kama una kiwanja tayari na utaanza kidogo kidogo.

Pia tafuta kazi za ziada za ku raise kipato chako. Kama umeoa na mke ajishughulishe ili aweze kukusaidia majukumu ya nyumbani mfano chakula nk.
Umesahau kumwambia anunue baiskeli ya kuendea kazini maana mchanganuo wako hukuweka usafiri. Pia kama ni mtu wa totoz na yale maji ya dhahabu aache kabisa. Kodi ya hapo anapoishi inabidi asilipe kabisa, mkwepe landlord mwaka mzima[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom