Guest& bar awe anaenda mara moja tu kwa mweziView attachment 1342202
Igawe mara tatu
1/3 = Matumizi binafsi (nauli/msosi/vocha, chenchi ndogo ndogo eka kwa kibubuu etc)
1/3 = Akiba (lengo kubwa likiwa ujenzi) --- nkikustukizia na mimi sijajenga... sitakupa lift hata ka wanyeshewa mvua ama jua kali
1/3 = matumizi ya kijamii (zaka, michango muhimu kwa ndugu, ya kuhonga vitu vidogo vidogo, chenchi ndogo ndogo eka kwa kibubuu etc)
(1/3+1/3+1/3 = 1 = 400,ooo)
*Uwe mwaminifu katika hesabu ulizojiwekea
We jamaa unaroho mbaya sana.[emoji28][emoji28]Kakope Bayport
...Cheza SpotPesa!,,[emoji3][emoji3]Habari wakuu?
Kwa kipato cha 400,000 kwa mwezi nibajeti vipi mambo yangu mpaka nifanikiwe kujenga? Sina wategemezi wengi, hawafiki watano kwa jumla yao. Kipato hicho hakibadiliki sana kwa kila mwezi, niambie ni mbinu gani ulitumia kufanikiwa kujenga kwa kipato kama hicho au unaweza kufanyaje kwa kipato hicho ukajenga?
Maoni yako yanaweza kumsaidia na mwingine mwenye shida kama yangu.
...Amekupa Ushauri wake kwamba Kwa Laki 4 itakuwa Vigumu, Wewe Wasema Unaona Utaweza! Sasa Ushauri wa Nini? SI Uweze TU Sasa!aisee, mbona naona kama naweza, nisadiie mawazo yako chanya