Nifanyaje ili Niwe na Uwezo 'Power' ?

Umeeleweka Ndugu! Ahsante saana!
 
Fanya meditation ndo kila kitu hadi kuamuru tupa ijipinde au msumari ung'ooke utafanya ilimradi tu ujue nini unafanya na utie mkazo kwa ufanyalo litatokea

Tafakari kwa kina
 
kila mtu anaextra power ambayo Mungu kamuwekea kwa kiwango chake lakini ili kuipata unatakiwa uwe na kiwango kikubwa cha imani na pia uwe na uelewa wa mambo ya rohoni sababu ni kiwango cha juu cha kujitambua,hapo ukitambua hadi hapo ndio unakuwa kukaribia uwezo wa mwisho wa mwanadamu...wengi wetu hatujitambui hata kile kidogo ukifanya kwa uwezo wako kama kuread mind unajilimit kama umeotea badala ya kufuatilia jinsi ya kuifuatilia natural power yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…