R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,283
- 5,371
- Thread starter
- #21
Alifeli sehemu ndogo Sana kwenye kutafuta trucks za kubeba mzigo. Aliwatumia madalali wenye njaa . Wakampa bei ambayo haipo sokoni na yeye kwa hofu ili mzigo usichelewe akaingia mkenge.Inaonesha hakuwa na ujuzi wa kufanya hiyo kazi.
Kutana naye, ongea au msaidie ushauri ili aweze kufanya hiyo biashara, so he may refund you
Can you imagine sehemu ya kwenda Kwa USD 4300 yeye walimwambia USD 4700 hivyo Kwa gari sita tayari hesabu ilishagoma hapo.
Hakunishirikisha hapo mwanzo Kwa sababu alinihakikishia anao uwezo wa kupata reliable transporter with good transport rates.
Ila sasa ndio tunatafutana Kwa jinsi nilivyo huwa nawapa idea na free consultation watu ambao wanapenda hizi biashara.
Sometimes usingizi unapotea kabisa kabisa jinsi zilivyo na stress .