Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Umeongea la maanakwa vile ni mgeni katika biashara hiyo na ndiyo sababu uli msaidia,basi muite mwambie ukitaka kuendelea na kufanikiwa epuka hiki na hiki,ukitaka kupotea dhulumu.UTU BUSARA HASIRA HASARA.