Nifanyaje ili niweze kuipata hii hela

Inaonesha hakuwa na ujuzi wa kufanya hiyo kazi.

Kutana naye, ongea au msaidie ushauri ili aweze kufanya hiyo biashara, so he may refund you
Alifeli sehemu ndogo Sana kwenye kutafuta trucks za kubeba mzigo. Aliwatumia madalali wenye njaa . Wakampa bei ambayo haipo sokoni na yeye kwa hofu ili mzigo usichelewe akaingia mkenge.

Can you imagine sehemu ya kwenda Kwa USD 4300 yeye walimwambia USD 4700 hivyo Kwa gari sita tayari hesabu ilishagoma hapo.

Hakunishirikisha hapo mwanzo Kwa sababu alinihakikishia anao uwezo wa kupata reliable transporter with good transport rates.

Ila sasa ndio tunatafutana Kwa jinsi nilivyo huwa nawapa idea na free consultation watu ambao wanapenda hizi biashara.

Sometimes usingizi unapotea kabisa kabisa jinsi zilivyo na stress .
 
@Ami biashara tukifanya hivyo hatutatoboa Bora ibaki kwenye finance book kama ni debtor mpaka itafika muda wa kuhesabu kama loss . Ila Kwa sasa bado mapema.

Ahsante Kwa ushauri wako pia
 
Dawa mtupie Juju matako yake yawe laini laini yanalow mda wote.
Watu siku hizi sio waaminifu kabisa ukitaka kugombana na mtu mkopeshe hela. Nilizulumiw na mtu wangu qa karibu sana mpaka leo akiniona anakenua Kenua
anafikiri nimesahau.
Naunga mkono hoja unamdai $1800 chukua $300-500 kumaliza hiyo kazi iwe funzo kwa wangese wengine wanaodhani pesa ni sawa na muvvuzz kusema kila mtu anayo.
 
Huna ulinzi shirikishi mfukoni/kiunoni?
 
Njoo dm Nina mganga wa uhakika
 
Dawa mtupie Juju matako yake yawe laini laini yanalow mda wote.
Watu siku hizi sio waaminifu kabisa ukitaka kugombana na mtu mkopeshe hela. Nilizulumiw na mtu wangu qa karibu sana mpaka leo akiniona anakenua Kenua
anafikiri nimesahau.
Juju gani hiyo
 
Yes nipo Dar.
Nitafanya hivyo ingawa najua hapa urafiki ndio unaisha.

Urafiki na wahuni itakugharimu, mwanaume una urafiki na wanao na mke wako kwa sababu anakulelea wanao.

Ndugu na wote wengine, nje ya Baba na Mama kama hawaeleweki unaachana nao mazima.

Ila mpe mda jamaa labda anajipanga kulipa, kuna watu wengine hawapokei simu maana hawataki kuku dissapoint.
 
Pole sana kaka.
Waswahili sio watu wa kuwadhamini,hawajali wala kuangalia future hao wanaangalia leo tu.
Angalia jina lako lilitaka kuharibiwa kwa ajili ya huyo mzembe mmoja halafu mwenzako wala hajali
 
Unakaa Dar? Nitakushauri namna, usiende mahakaman, mpe presha kwa njia ya police.
Kaa nae ili uelewe vyema iwapo ni jeuri tu wa kulipa au amekwama pahali.Kama ni jeuri tumia nguvu nguvu hizo za kisheria.Kama amekwama na ana nia angalia namna mbili iwapo anashaurika mpe mbinu za kibiashara ainuke ili akulipe.Kama ni uzembe na hakuna dalili za kuinuka ndipo hapo msamehe na umuombee Mungu na ujiombee mwenyewe upate kuliko ulichopoteza.Ukifuata ushauri wangu hutapata hasara yoyote. Ama kitisho cha polisi kinaweza kikakugharimu mwenyewe.Yawezekana anajua vipembe vya kupenya wewe usivyovielewa hasa kwa vile katika polisi wetu hakufuatwi sheria kikamilifu.
 
Sio kila mtu ni mfanya biashara!
 
  • Kama hiyo fedha unaweza kusamehe, fanya hivyo na uvunje urafiki uliopo.
  • Mahakamani haitasaidia kwa sababu hakuna vielelezo
  • Ukitumia umafia, mungu hapendi pia
  • Kwa kujiridhisha, unaweza ukamtumia ujumbe kwa kutumia wazee, askari n.k wakakutana naye, na kuweka utaratibu wa kurejesha; ingawa utaingia gharama kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…