BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Pole mkuu. Mie sina connection nao hao watu ila ungekuwa unakutana nao huko Dubai ungejichotea sana tu. Wakiwa huku Bongo wananyata ila kule wanakuwa wajinga flani tu hivi.Nnachoweza kukiri ni kwamba mimi ni domo zege.
Basi mkuu niletee Paula, nipe invoice yake na yako ya kumleta.