Nifanyaje kumpata binti ambaye ni maarufu?

Sure, kwa baadhi ni vichekesho.

2021 nilikutana na kale kanajiita barbie_mia kuna mchizi wangu alikapata akakaita akapige mbupu, kabla hakajafika akawa ananionesha picha zake ig nikaona ni pisi inafaa kwa matumizi. Ile kamefika, mama yangu kadem ni kafupi, kembamba hadi nikasema huyu sio mtoto kweli. Ila jamaa alikakuna nasikia. Baadae nakuja kusikia eti kanatoka na Young lunya nikaishia kucheka tu sababu wajinga wamekutana
 
Hapo wakali naona ni batuli, wellu sengo, paula, mimi mars,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta inadanganya sanaa yaan
Ukikutana nao live, unashangaa
 
Na nasikia anataka mtoto siku hizi, supply inaweza kuongezeka

Ila shida anatoka na vilaza wenzie, kuna madogo wanamla ovyo hasahasa visanii vyenzake vya kiume

Ila kwa ukali ni mkali balaa af ana zile swagg wahuni tunapenda
mtoto mtamu sana yule, anaye mwaga pale anafaidi sana, apewe nini kingine
dada yake nilimpigia sana nyeto miaka ya 2013 kipindi yupo Choice FM, baada ya kuzeeka, yeye akachukua nafasi yake
 
Tena afadhali hao wa zamani.... Naomba niishie hapo[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…