Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Ingia inbox yake, mwandikie ''moyo wangu umeniongoza kwako wkend hii twende ngorongoro national park tukashangae pundamilia kwa muda wa siku 3'', akikujibu, endeleza mjadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawaahSitaki kubadili mfumo wa maisha kwa ajili yao.
Sawa.Acha uongo [emoji23]
Nishatuma mkuu, nasubiri tu masaa 24 nikuite wooouh wooouwBasi wala usikonde,nenda insta then tafta demu unayemtamani slide dm mtumie txt ifuatayo,mambo ewe malkia naomba namba yako ya mpesa nikuchangie mafutaau vocha ,asipotuma namba niite mbwa
[emoji23][emoji23][emoji23] bora umemkata wengeAcha uongo [emoji23]
Nikufanyie connection??
Nishatuma mkuu, nasubiri tu masaa 24 nikuite wooouh wooouw
Mtafute Shishi unapata connection fastaDj Sinyorita jee??
Kuleni kwa macho tu[emoji23]Nakazia [emoji419]
Ikishindikana nitamtafutia sabuni nimalize kesiKuleni kwa macho tu[emoji23]
Tuwashukuru sana Wamarekani na Umoja wa Ulaya. Bila ARV watu wengi sana wangeshatangulia mbele ya haki.Tunda pia.
Tena asiwe na hela za mawazo [emoji3]Una hela???tuanzie hapa
Bado taifa linakuhitaji mkuu[emoji23]Ikishindikana nitamtafutia sabuni nimalize kesi