Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Hiyo dm si ndo mpka ajibu sasa!Sawa.....
Njia niliyoiona inafanya kazi, waarabu wanatumia kula maceleb wa insta ni kwanza uwe na hela, halafu uwasiliane nae dm.....
Wale waarabu wanawaambia huduma wanazotaka, wanawatumia nusu ya malipo, halafu wanakatia tiketi za ndege, kuwasafirisha, kazi inakua tayari
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app