cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hadi 300k wanaliwa, inategemea siku ikojee.Kua na hela tu. Hawa madem maarufu wengi wanawachanganya watu kwa picha za insta tu ila wengi hawana hayo maisha wanayo onyesha na wengi wanaishi kwa madili ya pesa za kawaida, unakuta msanii anafanya show ya mpaka laki 6, huyo ukimwekea M mezani hawezi toboa. Japo ni kuvuruga pesa mana mtaani kuna madem wakali sana zaidi yao ila kama umeamua fanya hivyo
Wanaweka mapicha ya snap na filter ili kuwazuga watu wawa mwagie pesa ndefu lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]