Nifanyaje kumpata binti ambaye ni maarufu?

Nifanyaje kumpata binti ambaye ni maarufu?

Sawa.....
Njia niliyoiona inafanya kazi, waarabu wanatumia kula maceleb wa insta ni kwanza uwe na hela, halafu uwasiliane nae dm.....

Wale waarabu wanawaambia huduma wanazotaka, wanawatumia nusu ya malipo, halafu wanakatia tiketi za ndege, kuwasafirisha, kazi inakua tayari
Hiyo dm si ndo mpka ajibu sasa!

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Nikufanyie connection??
Sina hela, halafu nina mashaka yule video queen wa yatapita alijitongozesha kwa diamond, kama diamond alimtongoza yule video queen, basi video queen alimkubali, na alianza kumganda Diamond..Sina uhakika ila nimehisi tu

Nahisi ndio kilichopelekea diamond kujirekodi na kuwachana wadada aliosema wanajifanya kumpenda kuliko mama yake, aliwauliza hao wadada kuwa kama angekuwa maskini wangempenda?? cocastic Victoire
 
[emoji23][emoji23][emoji23] eti anasema hataki intavoo kwa media ingine, zaidi ya Wasafi.

Namuangalia nasema hajaijua industry badooo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kana nyodo mnooo
 
Mkuu Fanya kitu simple tu ingia DM ya mmoja wapo unayemtaka nenda direct kwenye point tena mtangazie na dau kabsa mostly watakumind unawachukuliaje wewe kuwa mpole tena waombe msamaha sana ila waambie Siku ukiwa na shida na hicho kiasi wakutafute halafu kausha trust me its just a matter of time IPO day utashaangaa celebrity na matitle Yake anakutafuta tena kwa dau dogo tu LA 200K
 
Kua na hela tu. Hawa madem maarufu wengi wanawachanganya watu kwa picha za insta tu ila wengi hawana hayo maisha wanayo onyesha na wengi wanaishi kwa madili ya pesa za kawaida, unakuta msanii anafanya show ya mpaka laki 6, huyo ukimwekea M mezani hawezi toboa. Japo ni kuvuruga pesa mana mtaani kuna madem wakali sana zaidi yao ila kama umeamua fanya hivyo
 
Mkuu Fanya kitu simple tu ingia DM ya mmoja wapo unayemtaka nenda direct kwenye point tena mtangazie na dau kabsa mostly watakumind unawachukuliaje wewe kuwa mpole tena waombe msamaha sana ila waambie Siku ukiwa na shida na hicho kiasi wakutafute halafu kausha trust me its just a matter of time IPO day utashaangaa celebrity na matitle Yake anakutafuta tena kwa day dogo tu LA 200K
Ila kweli yaan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom