Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Eeeh Mungu tunatubu kwa kula lile tunda, hii adhabu unayotupa sasa ni nzito mno.
tumia asali guruHabaria zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupige magoti tusali mama, hamna namna nyingine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nimeshindwa kukizuia kichekoNaunga mkono...af jamaa limetupia picha kabisa..ni mgen jf nin.hahahah
kwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseekwetu ni weupe sana si unajua warangi mixer waarabu wa kondoaView attachment 1337321
Sent using Jamii Forums mobile app
mbaya zaidi amesema naye ni mrangi aisee warang weusi mbna tupo tunaishA road to LBGT
View attachment 1337324
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Eeeh Mungu tunatubu kwa kula lile tunda, hii adhabu unayotupa sasa ni nzito mno.
Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtumeee! Kwishney!
πππππππMtumeee! Kwishney!
Sasa ndugu unahangaika na rangi itakusaidia nini? Huo muda jikite kwenye kutafuta pesa hayo mambo ya marangirangi achia wanawake.