Nifanyaje kurejesha rangi ya mwili wangu?

Nifanyaje kurejesha rangi ya mwili wangu?

Habaria zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?

Sent using Jamii Forums mobile app
tumia asali guru
 
Maisha tu hayo. Unashinda juani....unanuka nuka shida. Stress za maisha.

Walahi nakuapia. Ukaolewa na mtu kama mimi, ukakaa ndani vzuri, wala unachokitaka, unavaa unachokitaka, unafanya unachokitaka....una pesa za sundries....nakupiga mshedede vizuri....lazima ung'ae tena. Manii nazo ni dawa, utanawiri tu.

Karibu.
Habari zenu? Nilipokuwa mdogo hadi Darasa la Saba nilikuwa mweupe sana hadi nikawa najipaka masizi ya mkaa maana watoto walitania sana kulingana na rangi yangu, wengine walidiriki kuniambia mweupe kama papai, je nitafanyaje rangi yangu irudi kama mwanzo maana watu wananishangaa sana hasa wamama walioniona zamani wanasema nimekuwa mweusi sana kuna nini naumwa au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lebanon,
😴😴😴😴 Umeona picha ya jamaa au umekurupuka kujibu??
 

Attachments

  • 06BA7288-DBF6-452F-B922-D699EDF25034.jpeg
    06BA7288-DBF6-452F-B922-D699EDF25034.jpeg
    22.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom