Nifanyaje nipende tena

Nifanyaje nipende tena

Mkuu itoshe kusema mapenzi umeanzia ukubwani

Pole sana, upendo aina hiyo hauna tija kwa sasa utakuua.

Wekeza kwenye pesa, imarisha uchumi hao watakuja wenyewe.

Hakikisha wakija timiza haja zako tu na si kuwekeza kihisia.
 
Mkuu same to Mimi natamani niweke mkekaa hapa WA text yake ya mwisho.
but me alinambia wazazi wake ndo wamemchagulia mtu wa kumuoa aliniomba Sana radhi nisimuwekee kinyongo ilikua ni mtiti kumsahau miaka 4 kwenye mahusiano alikuwa kama mke alikuja kuondoka siku Moja TU kwenye maisha yangu niliumia Sana. Lakini Sasa at least nimemsahahu nafanya mitikasi yangu nimekua msela tena sikai na paka
 
Mwandiko wako tuu unaonesha hadi sasa we ni mtu wa dini sana. Mapenzi na dini iliyopitiliza ni marachache sana kuchangamana. Ndio maana ndege wako aliruka.
 
Mkuu same to Mimi natamani niweke mkekaa hapa WA text yake ya mwisho.
but me alinambia wazazi wake ndo wamemchagulia mtu wa kumuoa aliniomba Sana radhi nisimuwekee kinyongo ilikua ni mtiti kumsahau miaka 4 kwenye mahusiano alikuwa kama mke alikuja kuondoka siku Moja TU kwenye maisha yangu niliumia Sana. Lakini Sasa at least nimemsahahu nafanya mitikasi yangu nimekua msela tena sikai na paka
Pole mno mkuu
 
Kuoa na kuolewa sio lazima, achilia kuwa kwenye mahusiano.

Wee kulaa,vaa,lala, bas umemaliza hapo. Maisha mafupi hayaa.

Poleeee sanaaa.
Mh unampotosha mwenzako!

Ungelimuuliza kwenye mkojo wa asubuhi huko chini huwa kunafanyaje, kisha achukue hatua.

Labda niulizee, wanawake waliumbwa kwa sababu gani?

Haya mambo ya kushauriana sijui kula, sijui vaa bila kuwa na mwanamke ni ubatili.

Unamvalia kumpendezea nani, unakula kumshibia nani.

Vivae viatu vya mtoa mada uone kama u single unastahimilika.
 
Back
Top Bottom