Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

Nifanyaje niwe Maarufu kama Dkt. Shika?

Hunitaki mema

muya ataho ,

Umeomba ushauri ili uwe maarufu sasa "sikutakii mema" inatoka wapi tena!?

Jambo la msingi , ni wewe kutekeleza ushauri kisha utaona matokeo na umaarufu wako unavyoongezeka ghafula.

Kama hutaki kuwa, maarufu achana na huo ushauri niliokuandikia hapo comment namba #2.
 
Ushaur wa kuaana
 
Kanye kwenye kitanda cha mzee kipara pale magogoni na mtukane mwambie mzee una bichwa ka dafu upara ka sola panel
 
Back
Top Bottom