muya ataho
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 508
- 340
- Thread starter
-
- #21
MeMkuu wewe ni ME au KE??
Hunitaki mema
Ushaur wa kuaanamuya ataho ,
Umeomba ushauri ili uwe maarufu sasa "sikutakii mema" inatoka wapi tena!?
Jambo la msingi , ni wewe kutekeleza ushauri kisha utaona matokeo na umaarufu wako unavyoongezeka ghafula.
Kama hutaki kuwa, maarufu achana na huo ushauri niliokuandikia hapo comment namba #2.
Duuuu kuna wanajeshiNenda Kanye Lango la ikulu!!!
shikishwa ukuta hadharani huku vyombo vya habari vikishuhudia.Jaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Kwani hiyo haitakuwa kaziAcha ndoto za mchana fanya kazi
We mtu una akili sanamteke Dr.shika kwa Masaa Machache
fanya kazi halali!Kwani hiyo haitakuwa kazi
Kuna pyu pyu in sugu voiceKapige puli kwenye lango la kuingilia ikulu mchana kweupe. Utafunika!
Kapige chata Ikulu tena kwenye ile picha ya MkuluJaman wana jamvi nimeona jinsi dk shika alivyokuwa maarufu ghafla mnisaidie niwe maarufu pia kama yeye nifanyeje
Samahani sana mkuu
Kwaiyo hiyo shika haikuwa halalifanya kazi halali!
Wale hawana shida mkuu!! Unaenda ukiwa umevua suruali ubaki na shatiDuuuu kuna wanajeshi