Nifanye biashara gani kwa kipindi hiki cha mwezi 1 kwa mtaji huu

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
399
Reaction score
1,076
Wasalaam wakuu,,,

UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya)

Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa haitoshi,ambapo fundi wangu kanambia nitapata mlango wa get mkubwa 1wa mbele na 1 wa nyumba kwa 350k na itayobak madirisha 6

Back to the topic
Sasa naweza fanya biashara gan ambayo pesa naweza nikaichomoa yote baada ya mwez 1? Yan mfano nikachukua bidhaa fulan sehem fulani nikapeleka sehem nyingne nikalipwa pesa cash au nikachukuwa bidhaa flan kariakoo ambayo inatoka fasta nikafanya hata umachinga atleast baada ya mwezi nikapata kiasi flan ambacho maybe nitaweza kuongeza milango miwil mi3

Natanguliza shukuran asante...
 
Sasa naweza fanya biashara gan ambayo pesa naweza nikaichomoa yote baada ya mwez 1? Yan mfano nikachukua bidhaa fulan sehem flan nikapeleka sehem nyingne nikalipwa pesa cash au nikachukuwa bidhaa flan kariakoo ambayo inatoka fasta nikafanya hata umachinga atleast baada ya mwezi nikapata kiasi flan ambacho maybe nitaweza kuongeza milango miwil mi3

natanguliza shukuran asante...
Nikopeshe nakupa 5k kila siku ndani ya miezi 14
 
Wasalaam wakuu,,,

UTANGULIZI (kama mvivu sio lazima maelezo aya)

Mimi ni kibarua ktk secta flan ya kawaida sana,sasa nina likizo ya mwezi na nusu,nina ka akiba kangu kama 1m ambaya mwanzo lipanga ninunue madirisha na milango nikapachike kwenye kibanda changu mbagala chamanzi,lakin hyo pesa haitoshi,ambapo fundi wangu kanambia nitapata mlango wa get mkubwa 1wa mbele na 1 wa nyumba kwa 350k na itayobak madirisha 6

Back to the topic
Sasa naweza fanya biashara gan ambayo pesa naweza nikaichomoa yote baada ya mwez 1? Yan mfano nikachukua bidhaa fulan sehem fulani nikapeleka sehem nyingne nikalipwa pesa cash au nikachukuwa bidhaa flan kariakoo ambayo inatoka fasta nikafanya hata umachinga atleast baada ya mwezi nikapata kiasi flan ambacho maybe nitaweza kuongeza milango miwil mi3

Natanguliza shukuran asante...
MANCHESTER UNITED anacheza tarehe 22 mpe USHINDI utapata mara mbili ndani ya dakika 90
 
Njoo Zanzibar nikuuzie Hii milango pendwa, ukifika Dar unauza mmoja kwa laki 6 fasta tu.

Ina Lens ya kuonea nje, Ina sehemu ya kupokelea parcels, haichubuki Wala kuingiliwa na maji.

Ninayo pieces 60View attachment 2228701
DSC_2815.JPG
 
Biashara ni kamali, hiyo hela unaweza kuipoteza yote bila kujua.nahofia isitoke haraka kama unavyodhani.
 
Back
Top Bottom