Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,015
- 947
Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
Forex trading, kwa siku utapata faida sio chini ya 300K kama unaielewa kama mimiHabari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
🤣😅😅Forex trading, kwa siku utapata faida sio chini ya 300K kama unaielewa kama mimi
Unacheka tena Kitimoto 😂😂 ntakukula
Acha kumuingiza chaka mwenzioForex trading, kwa siku utapata faida sio chini ya 300K kama unaielewa kama mimi
Kama kwako ni ngumu na wewe usimkatishe mwenzako mafanikioAcha kumuingiza chaka mwenzio
Ata 1.02 inachanaga😂😂Tafuta oďs zako 2, baada ya mwezi tunaongea mengine.
Fungua ofisi ya decoretion ..Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
Ni bora niloamua kukaa kimya kuliko ww ulompotosha and hakuna kazi nyepesi kwenye utafutaji ila kuna kazi hapana si zakumshauri mtu.Kama kwako ni ngumu na wewe usimkatishe mwenzako mafanikio
Ni bo
Ni bora niloamua kukaa kimya kuliko ww ulompotosha and hakuna kazi nyepesi kwenye utafutaji ila kuna kazi hapana si zakumshauri mtu.
Labda hatujaelewana, kwanza forex ni nini?Ni bo
Ni bora niloamua kukaa kimya kuliko ww ulompotosha and hakuna kazi nyepesi kwenye utafutaji ila kuna kazi hapana si zakumshauri mtu.
Ahsante kwa ushauriBoda
Forex hapanaForex trading, kwa siku utapata faida sio chini ya 300K kama unaielewa kama mimi
Tafuta oďs zako 2, baada ya mwezi tunaongea mengine.
kaka kwa huu ushauri safi, yupo jamaa anafanya ivyo na maisha yake yapo safi sana.Fungua ofisi ya decoretion ..
Masofa vitanda meza shoocase , maviyu used used kama feni radio majiko ya gass .yaani nunua vitu vilivyowashinda watu (viwe izima au vya kufanyie marekebisho kidogo)kaka utapiga hela hafi ushangae.
La umuhimu tafuta location nzuri tuu utakuja nishukuru
MWANZO SIKU ZOTE UNAKUWAGA MGUMU KWENYE KILA BIASHARA NIKIWA NA MAANA KILA UNACHO KIANZISHA KINAITAJI MDA KAMA SIO MIENZI MITATU BC ATA SITA NDIO UTAANZA KUONA MATUNDA YAKE KUNA BIASHARA NYINGI AMBAZO ZINALIPA 2025Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?