Big Results Neo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2020
- 263
- 337
Boda faida laki 3 kwa mwezi? Mkuu umefikiria vizuri lakini. Nimejaribu kuwaza tuuBoda
Boda faida laki 3 kwa mwezi? Mkuu umefikiria vizuri lakini. Nimejaribu kuwaza tuuBoda
Njoo tufuge kuku au nguruwe.Banda lipoHabari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
wapi ukoNjoo tufuge kuku au nguruwe.Banda lipo
Njoo mtwara ununue korosho hoto jutaHabari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
Na mashine zinauzwaje??Biashara ya popcorn ni nzuri, ishu ni kupata mashine yake