Nifanye Biashara gani kwa mtaji wa milioni 3

Nikopeshe kwa riba
Au karibu uwekeze kwenye mchele
 
Biashara ya popcorn ni nzuri, ishu ni kupata mashine yake
 
Kwani we jamaa apo mtaani hauoni tatizo lolote au upungufu wa bidhaa au kitu gani embu changamsha ubongo janja 😎
 
Habari za jioni, Wakuu nimekuja kwenu kuomba ushauri wa ideas. Kwa mtaji wa milioni 3 naweza fanya biashara gani hapa Dar nikipata walau faida ya laki 3 kwa mwezi?
Njoo mtwara ununue korosho hoto juta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…