Nifanye kazi gani nipate laki tano kwa siku 30?

Vyeria

Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
57
Reaction score
75
Habari zenu wadau
Pitia uzi wangu ulopita wa kujenga kwa m. 3, ha ha haikutosha badala yake nilitumia kama m.10 na zaidi nyumba ya vyumba viwili na choo imesimama na bati imegongewa sasa tatizo milango na madirisha na plasta, kwa sababu mimi ni mtumishi wa umma nategemea kuchukua likizo mwezi ujao, hapa nawaza nifanye kazi gani nipate angalau laki tano tu niweke dirisha nyumba yangu??

Ushauri pulizi
 
Kazi haramu kama IPI? Mwenyewe naitaka hiyo hela faster ila haramu hiyo isiwe ujambazi wala kubeba madawa
mkuu hizo ndizo kazi zenyewe haramu ukijumlisha na kuuza papuchi.Niliongea na muuza papuchi mmoja pale Kinondoni anasema kwa siku analala ma 50k au zaidi.Akikosa sana 30k.
Ila nakushauri kuwa mvumilivu tu kila mtu hupata fungu lake alilopangiwa kwa wakati sahihi.
 
Kuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana
 
Tafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.

Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.

Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.

Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…