Habari zenu wadau
Pitia uzi wangu ulopita wa kujenga kwa m. 3, ha ha haikutosha badala yake nilitumia kama m.10 na zaidi nyumba ya vyumba viwili na choo imesimama na bati imegongewa sasa tatizo milango na madirisha na plasta, kwa sababu mimi ni mtumishi wa umma nategemea kuchukua likizo mwezi ujao, hapa nawaza nifanye kazi gani nipate angalau laki tano tu niweke dirisha nyumba yangu??
Ushauri pulizi