Nielekeze zaidi nakuja pmTafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.
Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.
Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.
Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.
Hii unafanyaje nipe mwanga kidogoTafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.
Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.
Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.
Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.
Wewe mtu mzima au mwanafunzi???Umewezaje kujenga kwa 6m ukashindwa kupata laki 5 kwa mwezi?
Ha ha ha ha ha haKuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana
Beberu DuuhKuuza papuchi hapana. Elfu 50 ikanilaze na MTU ananuka kama beberu hapana
Basi acha niendelee kuiwaza tu jinsj ya kuipata haramu hiyo sitakiHUO NDO UHARAMU WENYEWE MKUU,hahahaha eti kama beberu
Tafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.
Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.
Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.
Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.
Je mkuu mimi kama sinuki beberuBasi acha niendelee kuiwaza tu jinsj ya kuipata haramu hiyo sitaki
Hapana. Kujiuza kama kuvaa mabomu mkuuJe mkuu mimi kama sinuki beberu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hapana. Kujiuza kama kuvaa mabomu mkuu
Najua. Mnunuaji gani anataka kufunga biashara haramu hadharani sasa.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nazingua mimi kununua piah Siwezi
AsanteHongera kwa kupiga hatua ya kimaendeleo
Kuna nyuzi zinatrend jukwaa la Jamii Intelligence mfano utakuta uzi unasema 'Wadudu kumi hatari duniani' au 'Magonjwa kumi hatari duniani' au 'Watu 10 warefu duniani'Hii unafanyaje nipe mwanga kidogo
Ndugu tupe ufafanuzi kidogo kuhusu suala hili, kana ni kuandika unakua unawaandikia kitugani na kama ni ku uppload picha na video ni za aina gani
Kuna nyuzi zinatrend jukwaa la Jamii Intelligence mfano utakuta uzi unasema 'Wadudu kumi hatari duniani' au 'Magonjwa kumi hatari duniani' au 'Watu 10 warefu duniani'
Zile nyuzi wanazitoa online kutoka kwenye website ya Listverse. Now Listverse hawawezi kuandika kila kitu wao hivyo wanaajiri freelancers wa kuandika maudhui yao.
Wanalipa Dola 100 wakikubali utakachowaandikia. Isipokua wanalipa kwa kutumia Paypal ambayo kwa Tz ukiwa na akaunti ya Paypal hautaweza kupokea pesa hivyo hakuna mtu aliye Tz ataweza kulipwa.
Websites ambazo hazitumii Paypal hulipa pesa kidogo. Mfano Mysterious world wanalipa dola 25 hivyo tafuta website itakayokuridhisha, fanya nao kazi. Fuatisha masharti yao ya uandishi ukikubaliwa article yako wanakulipa.
Picha ulipwaji wake utategemea na unapoupload na camera yako pia. Mfano picha za smartphone huwezi kuziweka Getty image au Stock photo ukatarajia pesa ndefu.
Pia malipo ni tofauti na website. Mfano sehemu nyingine watakulipa kadri watu wanavyodownload picha yako na sehemu nyingine watakulipa hapo hapo ila watu wakidownload picha ulizoweka haupati tena kitu.
Shukrani. Hii nzuri aiseeKuna nyuzi zinatrend jukwaa la Jamii Intelligence mfano utakuta uzi unasema 'Wadudu kumi hatari duniani' au 'Magonjwa kumi hatari duniani' au 'Watu 10 warefu duniani'