- Thread starter
-
- #41
AsanteKuna nyuzi zinatrend jukwaa la Jamii Intelligence mfano utakuta uzi unasema 'Wadudu kumi hatari duniani' au 'Magonjwa kumi hatari duniani' au 'Watu 10 warefu duniani'
Zile nyuzi wanazitoa online kutoka kwenye website ya Listverse. Now Listverse hawawezi kuandika kila kitu wao hivyo wanaajiri freelancers wa kuandika maudhui yao.
Wanalipa Dola 100 wakikubali utakachowaandikia. Isipokua wanalipa kwa kutumia Paypal ambayo kwa Tz ukiwa na akaunti ya Paypal hautaweza kupokea pesa hivyo hakuna mtu aliye Tz ataweza kulipwa.
Websites ambazo hazitumii Paypal hulipa pesa kidogo. Mfano Mysterious world wanalipa dola 25 hivyo tafuta website itakayokuridhisha, fanya nao kazi. Fuatisha masharti yao ya uandishi ukikubaliwa article yako wanakulipa.
Picha ulipwaji wake utategemea na unapoupload na camera yako pia. Mfano picha za smartphone huwezi kuziweka Getty image au Stock photo ukatarajia pesa ndefu.
Pia malipo ni tofauti na website. Mfano sehemu nyingine watakulipa kadri watu wanavyodownload picha yako na sehemu nyingine watakulipa hapo hapo ila watu wakidownload picha ulizoweka haupati tena kitu.