Nifanye kazi gani nipate laki tano kwa siku 30?

Nifanye kazi gani nipate laki tano kwa siku 30?

Kuna nyuzi zinatrend jukwaa la Jamii Intelligence mfano utakuta uzi unasema 'Wadudu kumi hatari duniani' au 'Magonjwa kumi hatari duniani' au 'Watu 10 warefu duniani'

Zile nyuzi wanazitoa online kutoka kwenye website ya Listverse. Now Listverse hawawezi kuandika kila kitu wao hivyo wanaajiri freelancers wa kuandika maudhui yao.

Wanalipa Dola 100 wakikubali utakachowaandikia. Isipokua wanalipa kwa kutumia Paypal ambayo kwa Tz ukiwa na akaunti ya Paypal hautaweza kupokea pesa hivyo hakuna mtu aliye Tz ataweza kulipwa.

Websites ambazo hazitumii Paypal hulipa pesa kidogo. Mfano Mysterious world wanalipa dola 25 hivyo tafuta website itakayokuridhisha, fanya nao kazi. Fuatisha masharti yao ya uandishi ukikubaliwa article yako wanakulipa.

Picha ulipwaji wake utategemea na unapoupload na camera yako pia. Mfano picha za smartphone huwezi kuziweka Getty image au Stock photo ukatarajia pesa ndefu.

Pia malipo ni tofauti na website. Mfano sehemu nyingine watakulipa kadri watu wanavyodownload picha yako na sehemu nyingine watakulipa hapo hapo ila watu wakidownload picha ulizoweka haupati tena kitu.
acha kumtapeli mwenzio
 
Laki 5..hizo si kama usd 220m? Wenzako hizo tunaingiza per day...
 
Tafuta websites au blogs ambazo unaweza kuwaandikia na ukalipwa. Mshahara unaanzia dola 25 mpaka dola 500 kutegemea na umashuhuri wa website husika.

Kama upo Tz ni tatizo kwakua kinachotukwamisha ni Paypal haipo supported Tz.

Sasa hivi Hovatek wanatafuta waandaaji maudhui, wacheki.

Sites zingine ni za kuupload video au picha nazo zinalipa, mshahara unaanzia dola 5 nafikiri dola 50 ni kiwango cha juu zaidi.
Taja website mkuu
 
Hyo pesa nakupa bure kabisa ila mashart na vigezo kuzingatiwa
 
Inawezekana ila uthubutu unahitajika, unajua kuna mishe unaweza pata mpaka 35,000/= kwa siku ila kujitoa kunahitajika sasa kwa nature ya watu sisi inahitaji uthubutu
Naomba unishirikishe na Mimi huo mchongo mkuu October man
 
Ndugu zangu habari naitwa Elifuraha Lyimo nipo Arusha natafuta kazi ya ualimu lakini kama ipo nyingine nafanya 0714954609
 
Back
Top Bottom