Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Nifanye maamuzi gani kwa huyu mwanamke?

Hamumu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2021
Posts
1,439
Reaction score
3,587
Habarini wadau.

Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi nilipo mimi na kuendelea na shughuli alizokuwa akifanya kipindi cha nyuma.

Kwa vile tulishatambulishana na mahari nimemtolea sikuona vibaya kuanza kuishi nae kabla ya ndoa. Alibeba kila kilicho chake na kuhamia kwangu rasmi.
Juzi wakati tukiwa kwny stori za hapa na pale, aliomba kuangalia simu yangu ninayoitumia. Sikuona tabu nikampatia, cha ajabu hakuhangaika na vilivyomo ndani, badala yake alitoa kava na kuikagua jinsi ilivyo kwa nje kisha akatabasamu na kusema kuwa ameipenda, na kama haitakuwa noma tubadilishane simu.

Sikuwa na neno coz namjua anapenda sana show offs. Japo yake pia n simu kali ila nilimkubalia. Tukahamisha details muhimu then tukabalilishana simu.
Jana nlipotoka job sikuwa na la kufanya, nikaona si mbaya nipitepite kwa simu hii niizoee mkononi.
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).

Nilikutana na picha nyingi sana za mwanamke wangu akiwa ktk moja ya fukwe maarufu sana dar na alipiga kipindi ambacho alienda huko alipopata kazi aloifanya kwa muda mdogo na kurejea mkoani. Amevalia nguo ambazo hata mimi sijawah kuziona.
Pia zipo video akiwa na jamaa flan hv wakibebana na kucheza kwenye mchanga wa Beach wakiwa nusu uchi.

Hapa nimepigwa butwaa sielew nichukue maamuzi yapi kwa sasa. Bado sijamwambia chochote had sasa.

Maoni yenu n muhimu wakuu.
 
Kuanzia hapo hutakuwa na amani na huyo mwanamke mpaka unaingia kaburini......hicho ulichokiona kwenye simu ndio uhalisia wake.....na kimeweka muhuri wa moto moyoni mwako.........

Vita utakavyopigana navyo moyoni mwako ndio vitaamua uchukue maamuzi gani......

MAPENZI HAYASHAURIKI........
 
Habarini wadau.

Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi nilipo mimi na kuendelea na shughuli alizokuwa akifanya kipindi cha nyuma.

Kwa vile tulishatambulishana na mahari nimemtolea sikuona vibaya kuanza kuishi nae kabla ya ndoa. Alibeba kila kilicho chake na kuhamia kwangu rasmi.
Juzi wakati tukiwa kwny stori za hapa na pale, aliomba kuangalia simu yangu ninayoitumia. Sikuona tabu nikampatia, cha ajabu hakuhangaika na vilivyomo ndani, badala yake alitoa kava na kuikagua jinsi ilivyo kwa nje kisha akatabasamu na kusema kuwa ameipenda, na kama haitakuwa noma tubadilishane simu.

Sikuwa na neno coz namjua anapenda sana show offs. Japo yake pia n simu kali ila nilimkubalia. Tukahamisha details muhimu then tukabalilishana simu.
Jana nlipotoka job sikuwa na la kufanya, nikaona si mbaya nipitepite kwa simu hii niizoee mkononi.
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).

Nilikutana na picha nyingi sana za mwanamke wangu akiwa ktk moja ya fukwe maarufu sana dar na alipiga kipindi ambacho alienda huko alipopata kazi aloifanya kwa muda mdogo na kurejea mkoani. Amevalia nguo ambazo hata mimi sijawah kuziona.
Pia zipo video akiwa na jamaa flan hv wakibebana na kucheza kwenye mchanga wa Beach wakiwa nusu uchi.

Hapa nimepigwa butwaa sielew nichukue maamuzi yapi kwa sasa. Bado sijamwambia chochote had sasa.

Maoni yenu n muhimu wakuu.
Ukitaka Malaika. Muumbe wewe.

Kwani wewe huna mabaya yako ambayo yeye hajui?

Kuna hizo picha na video kwamba ulimkuta bikra kana kwamba Sasa amechepuka au
 
Bro, mshukuru Mungu bado uko spiritually strong.
Hiyo ni red ⛳ flag ya kwanza universe imeamua kukuonyesha.
Mwamuzi ni wewe sasa, uendelee kuishi na cheater (cheater not a criminal). Au usonge Mbele.
Lakini, usigombane nae wala nini kama unataka kumove on, tunza hiyo picha.
Siku akiliamsha usiongee muoneshe hiyo picha atashuka mwenyewe. Hawa viumbe wanapenda surprise huwa hawazisahau
 
Ingawa utasikia, Nenda church, Katoe sadaka ya shukrani, samehe Maharishi, mfukuze Leo!

Kamwe, kamwe, mwanamke Malaya hatobadilika, umalaya unazidi baada ya Ndoa!

Kama Mchumba anatoka nje wakati wa uchumba, expect Kuwa atatoka zaidi wakati wa ndoa!
 
Kuna namna mwanamke wa mkoani akija Dar ataliwa tu...sio kama ni umalaya hapana huwa wanaona ni sifa kuwa na mwanaume dar ...hasa moshi na arusha...

Na akinogewa anahamia ila huku dar hataolewa na mwisho anakua malaya na anakosa yote kuna kaushamba flani hivi cha wanawake wa mkoani kwa wanaume wa dar....

Nakushauri kitu..hebu usimwache..mwambie kila kitu akikiri na kusema ukweli basi huyo anaweza kubadilishika ila akikaza jua imekula kwako..mwenzio anapenda beach za dar..!

Halafu mdogo wangu haraka ya ndoa na mahari ya nini na mwenzio humjui vizuri...vuta end brake...mcheki kwa mbaaali huku unammega kisela...hana muda atatandaza mkeka wote mezani
 
Bro, mshukuru Mungu bado uko spiritually strong.
Hiyo ni red ⛳ flag ya kwanza universe imeamua kukuonyesha.
Mwamuzi ni wewe sasa, uendelee kuishi na cheater (cheater not a criminal). Au usonge Mbele.
Lakini, usigombane nae wala nini kama unataka kumove on, tunza hiyo picha.
Siku akiliamsha usiongee muoneshe hiyo picha atashuka mwenyewe. Hawa viumbe wanapenda surprise huwa hawazisahau
Nashukuru kwa haya mawazo mkuu.
 
Habarini wadau.

Niende moja kwa moja kwenye mada...
Huyu mrembo wangu nimekuwa naye kwa zaidi ya miaka mitatu. Kabla hatujaanza kuishi pamoja alipata kazi mkoa wa mbali kidogo (dar) na hapa ninapoishi mimi (Arusha). Alienda na alifanya kazi hio kwa miezi 9 tu kisha akaachana nayo na kurudi nilipo mimi na kuendelea na shughuli alizokuwa akifanya kipindi cha nyuma.

Kwa vile tulishatambulishana na mahari nimemtolea sikuona vibaya kuanza kuishi nae kabla ya ndoa. Alibeba kila kilicho chake na kuhamia kwangu rasmi.
Juzi wakati tukiwa kwny stori za hapa na pale, aliomba kuangalia simu yangu ninayoitumia. Sikuona tabu nikampatia, cha ajabu hakuhangaika na vilivyomo ndani, badala yake alitoa kava na kuikagua jinsi ilivyo kwa nje kisha akatabasamu na kusema kuwa ameipenda, na kama haitakuwa noma tubadilishane simu.

Sikuwa na neno coz namjua anapenda sana show offs. Japo yake pia n simu kali ila nilimkubalia. Tukahamisha details muhimu then tukabalilishana simu.
Jana nlipotoka job sikuwa na la kufanya, nikaona si mbaya nipitepite kwa simu hii niizoee mkononi.
Nlijikuta nmefika kwny trash (zinapohifadhiwa picha na video zilizofutwa kabla ya kufutika mazima).

Nilikutana na picha nyingi sana za mwanamke wangu akiwa ktk moja ya fukwe maarufu sana dar na alipiga kipindi ambacho alienda huko alipopata kazi aloifanya kwa muda mdogo na kurejea mkoani. Amevalia nguo ambazo hata mimi sijawah kuziona.
Pia zipo video akiwa na jamaa flan hv wakibebana na kucheza kwenye mchanga wa Beach wakiwa nusu uchi.

Hapa nimepigwa butwaa sielew nichukue maamuzi yapi kwa sasa. Bado sijamwambia chochote had sasa.

Maoni yenu n muhimu wakuu.
Kabla sijakupa ushauri fanya mpango tuonane nae kesho kwenye Range Rover Festival,nikishamuona jinsi alivyo ndio nitakupa ushauri sahihi
 
Back
Top Bottom